Kamanda wa kikosi cha wapambaji wa jeshi la Iraq amesema kuwa wamefanikiwa kuwaua magaidi themanini na wawili.
magaidi hao wamepoteza maisha baada ya mapigano makali kujiri katika mji wa Al-twass na mji wa Al-Bujasim.
Ahmad Swadak Deyaimi amesema kuwa kikosi chake bado kinaendelea na msako dhidi ya magaidi hao, wanaofanya jinai kwa binadamu na kuchafua jina la dini tukufu ya kiislamu.
28 Septemba 2014 - 18:19
Msimbo wa Habari: 640905
Kamanda wa kikosi cha wapambaji wa jeshi la Iraq amesema kuwa wamefanikiwa kuwaua magaidi themanini na wawili.